Makapuku Forum

Polisi Jijini Mwanza wamethibitisha kwamba mwili wa Mfanyabiashara Said Mganga (37) anayedaiwa kumuua kwa risasi Mke wake Swalha Salum (28) umekutwa ufukweni mwa ziwa Victoria akiwa na jeraha la risasi kidevuni ikiaminika alijipiga.

Akiongea na AyoTV Kaimu Kamanda wa Polisi Mwanza Mairi Makori amethibitisha kifo hicho na mwili huo kuopolewa ambapo amenukuliwa akisema "mwili huo umeopolewa ziwani eneo la ufukwe wa Rock Beach ukiwa na majeraha ya risasi kajipiga kidevuni, tumejiridhisha kuwa ndiye Mtuhumiwa wa mauaji ya Swalha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…