Makapuku Forum

Ila haya mambo 10 leo Alli Kamwe hajayatendea haki..

Hiyo NB ya leo hapana[emoji2]
 
Vya kuhonga tena Auntie????Woiiiiii....
Hapana..

Ndiyo hiyo ya Wacongo nimewahi kusikia sana.. Hata juzi kati kuna mtu nilimsoma mahali hapa JF alikuwa anawaelezea...Nasikia siyo watu hawa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Vya kuhonga tena Auntie????Woiiiiii....
Hapana..

Ndiyo hiyo ya Wacongo nimewahi kusikia sana.. Hata juzi kati kuna mtu nilimsoma mahali hapa JF alikuwa anawaelezea...Nasikia siyo watu hawa[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie raha zikikuzidi nasikia unaaza kuhonga nasikia wanajua mpaka wanajua tenaaa kucheza na kiumbe kinaitwa mwanamke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani huweai amini nimesoma mara mbili nataka kufuta nikajipa moyo tu acha nipost tu hivyohivyo huku roho inaniuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutafanyaje sasa Auntie.. ndiyo wachambuzi wetu wa Bongo hao[emoji2]

Oscar leo anakuambia Simba ilikuwa na Mabeki watano... nimechekaaaa[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…