[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana var inasema ako na mke au mwanamke na watoto sio mtoto ni watotoAuntie!!!!
Halafu huyu Mkijana ako Singular au Plural?[emoji2]
Asking for a friend..
Sanaaaaa auntieMtu Mbadiiii.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kama mimi watakuwa wamenipoteza jfYaaaani!!!!
Maana tutatafutana humu..
Aisee Hawa ndugu zetu hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ujue uwanja mashabiki wa simba ndio wamezidi yani wamemtia aibu msemaji wao
Namsubiri yule msemaji wao atasema niniAisee Hawa ndugu zetu hawa
Sio kwa promo zile
Hahahaha nasikia anaongeza mke wa tatuNamsubiri yule msemaji wao atasema nini
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yanga msomeni kidogo mchezaji wenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni simba damu usitegemee mechi ya simba na yanga nitapost habari za yanga mtanisamehe bundle langu na simu yangu mtasoma habari za simba mtake msitakeView attachment 2206535
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana var inasema ako na mke au mwanamke na watoto sio mtoto ni watoto
AsanteAmeen kaka
Umeangalia mpira?Msalimie sana kikuu[emoji1787]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Nawashkru mashabiki wa timu zote kwa kuvumiliana na mmepokea matokeo kwa moyo mmoja
Katekwaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimechekaaaaa....
Espy yuko wapi leo jamani?
Baibee shuuNamsubiri yule msemaji wao atasema nini
Mpira gani?Umeangalia mpira?
Usinichambe nakuomba[emoji2]
Unaoujua[emoji2]Mpira gani?
Hii ya mke wa tatu hivi ni kweli auHahahaha nasikia anaongeza mke wa tatu
Jamaa yule [emoji23][emoji23]
Sema wana Simba tuna vibe si mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yupoooo kazi kumsema babe wangu tu yani tungefungwa angekesha makapuku kama msemaji wao[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimechekaaaaa....
Espy yuko wapi leo jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] var inasema auntie wapo Congo sasa sijui nani huwa anaenda kumtembelea mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe nimecheka..
Mbona VAR!!!!
Wapo TZ au Congo huko?[emoji23]