auntie nimekuzidi au tupo sawa sijakuzidi bwana
Sawa Auntie...Huku huku mitaa ya home auntie
Ameen auntie Mungu yupo upande wetuSawa Auntie...
Naiombea Simba Ushindi na Mungu atusaidie..
Auntie umenizidi wewe..
Yaani siku hizi hata jf inakunywa bando eti jamani!! Hii mitandao wanautani na pesa zetuKweli jamani auntie bundle mzozo jamani naona kuanzia saa moja bundle linakata tutaonana sijui kesho tena au vipi inategemea
Usijali, hamtofungwa nyingi sana, 3 tu.Auntie mpira unaangalia wapi woiiii kuangalia peke yangu nyumbani presha sijui nitoke tu kwenda bar yaani au sijui nisiangalie
Mungu wabariki Orlando.CAF CONFEDERATION CUP
.
ORLANDOVsSIMBA SC (Agg 0-1)
19:00
Orlando Stadium
.
Orlando wamekuwa timu tishio wanapocheza mechi katika uwanja wao wa nyumbani na kinyume chake Simba wamekuwa dhaifu ugenini. Katika mechi 10 za mashindano ya klabu Afrika Orlando Pirates wamecheza nyumbani wameibuka na ushindi mara sita na kutoka sare nne.
.
Hali ni tofauti kwa Simba mechi 10 za mwisho walizocheza ugenini, wameibuka na ushindi mara 2, sare 2 na kupoteza michezo 6. Nani anatoboa leo __!!View attachment 2199014
Pole sana dadaKweli jamani auntie bundle mzozo jamani naona kuanzia saa moja bundle linakata tutaonana sijui kesho tena au vipi inategemea
Ametoa kauli ya kimchezo kama mwalimu mkuu: "Vijana walicheza vizuri, walimiliki mpira kwa asilimia kubwa, lakini bahati haikuwa upande wetu, kosa dogo limetugharimu tumetolewa, malengo yetu yalikuwa kutwaa ubingwa.”
- Manqoba Mngqithi, Kocha wa Mamelodi Sundowns View attachment 2199011
Kauli zao za kipuuzi kweli kila mtu anasema imeharibiwa nan aliharibu kama sio waoMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana amesema Nchi ya Tanzania imeharibiwa hivyo wapewe muda ili kuweka vitu katika njia inayotakiwa.
Kinana ameyasema haya kwenye iftar ya miaka 18 ya kampuni ya usafirishaji ya @silent_ocean_ltd ambayo iliwaalika Watu mbalimbali wakiwemo Wafanyabiashara.
Kinana ametoa maagizo hayo baada ya Wafanyabiashara kuiomba Serikali kuwatekelezea sehemu ya mambo ambayo yamekuwa kikwazo kwenye biashara.
“Hii Nchi imeharibiwa sana sana, imeharibiwa na vikao, Nchi imeharibiwa na mchakato, tutaifanyia kazi, nchi imeharibiwa tupeni muda, tunataka vitendo” ——— amesema Kinana.View attachment 2199025
DuuuhUmmy Msika (45), mkazi wa kata ya Bomambuzi manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro amepata madhara mwilini baada ya rafiki yake kudaiwa kumpa maji ya uponyaji ‘upako’.
Msika aliyelazwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa ya Mawenzi amesema wakati akiumwa mguu rafiki yake alimwambia atampa maji hayo ya uponyaji kwa ajili ya kunywa na kupaka.
Ameieleza Mwananchi Digital leo Jumapili kuwa baada ya kunywa maji hayo Aprili mosi, 2022 kutibu tatizo lake la mguu alianza kuumwa na kupoteza hamu ya kula, kuanza kuwashwa sehemu za siri na kwamba kila kukicha tatizo lilikuwa likizidi na hali yake kuwa mbaya na ndugu zake walimchukua na kumpeleka hospitali.
Naye mmoja wa madaktari anayemhudumia mwanamke huyo kwa sharti la kutotajwa jina lake amesema wanaendelea kumpatia matibabu kadri ya uwezo wao.
View attachment 2199083
Asante kakaPole sana dada
Mchawi wetuMungu wabariki Orlando.
Hawaaamini macho yaooooooooUsijali, hamtofungwa nyingi sana, 3 tu.