makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Hakuna tabu.. Kiukweli bitoz nyangema hata sijui kahamia mtaa gani, kimya saana.Kuna kipindi watu wengi tuliadimika sababu ya ubize ...ila hapa ni familia ya milele tunarud kama hivi
Shunie kama kawaida mwendo wa kutupa updates na magazeti kila dairy
Nigendako ubize anakuja mara moja moja
Binamu wangu ndugu yako Obe huyu yupo kama hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wageni wanapita mara moja moja
Tumosa kaadimika haswaaa
BITOS ndo sjui nani alimkimbiza
Mndali yupo anakuja akipata mda
Na wengine wengi wapo wanakuja mara moja moja
Halafu ujinga wa vitu kama nguo, viatu na vinginevyo huwezi jua material yaliyotumika kwa picha, unadhni ni cotton unakutana na kitu cha nylon 100%Ooh yeah , inabidi uwe makini la sivyo unaletewa kitu tofauti
Waache masihara wanajua bei za mkate bongo land? Wanajua bei ya super loaf??
Na kazi ya kuwatafuta huanzia saa 4 usiku mpaka 11 alfajiri. Na siku ya weekend ni muda wowote wanatafutwa [emoji1787]
Ama kweli mimi napendwa.. [emoji23][emoji7][emoji7][emoji7]
Mtaani kwetu uswahilini, ukiingiza demu saa 7 usiku asubuhi kila mtu habari anazo, sasa uibiwe visempele vyako kauka nikuvae umeanika saa 7 mchana watu wanaiba na kila mtu anakwambia "mi sijui" [emoji23]
Unakumbuka yuke kivuruge alifanya nikupoteze mshikaji wangu!!! [emoji23]
Huu utafiti wa uwongo, ina maana mimi mke wangu ni kilaza!?? [emoji1787][emoji23]
Mtoti wa Lee huyu.
Hizi changamoto kweliHalafu ujinga wa vitu kama nguo, viatu na vinginevyo huwezi jua material yaliyotumika kwa picha, unadhni ni cotton unakutana na kitu cha nylon 100%
Unajua majirani zetu ndio wanao tufwatilia kuliko hata wewe unavyo jiwekaMtaani kwetu uswahilini, ukiingiza demu saa 7 usiku asubuhi kila mtu habari anazo, sasa uibiwe visempele vyako kauka nikuvae umeanika saa 7 mchana watu wanaiba na kila mtu anakwambia "mi sijui" [emoji23]
Ngija mtu ajichanganye kunisapraizi nikamsapraizishe mahakamani.Mwanaume mmoja wa Kentucky nchini Marekani amelipwa USD 450,000 baada ya kampuni yake kumfanyia tafrija ya kushtukiza (suprise) ya siku ya kuzaliwa kwake licha ya onyo alilolitoa kuwa ingeweza kumsababishia msongo wa mawazo na hofu.
Mlalamikaji, Kevin Berling, anadai kuwa tafrija ile ambayo hakuitaka ya siku ya kuzaliwa ya mwaka 2019 ilimsababishia matukio kadhaa ya kuwa na hofu, madai ya kesi ya Berling yanadai kuwa kampuni hiyo ilimbagua kwa sababu ya ulemavu wake, Kampuni hiyo imekanusha kufanya jambo lolote baya.
Kwa mujibu wa kesi iliyowasilishwa katika Kaunti ya Kenton, Kentucky, Berling ambaye ana matatizo ya kuwa na wasiwasi alimwomba Meneja wake asisherehekee siku yake ya kuzaliwa kazini kama ilivyo kawaida kwa Wafanyakazi wengine kwasababu inaweza kumsababishia mashambulizi ya hofu na kurejesha kumbukumbu zisizofurahi za utotoni ambapo licha ya ombi la Berling, kampuni hiyo, ambayo hufanya vipimo vya Covid-19, ilimfanyia sherehe ya kushtukiza Agosti 2019, na kusababisha shambulio la hofu.
Haraka alitoka kwenye sherehe na kumalizia chakula chake cha mchana kwenye gari lake, kesi hiyo inabainisha kuwa Berling alishutumiwa na kukosolewa katika mkutano siku iliyofuata, ambapo alishutumiwa kwa kutowafurahisha Wafanyakazi wenzake.
Mkutano huo wa mvutano ulisababisha shambulio la pili la hofu, baada ya hapo kampuni ikamrudisha nyumbani kwa muda uliosalia wa Agosti 8 na 9 Agosti.View attachment 2193614
Dah!! Hivi jirani yangu shululu bado yupo au nae kahama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikampea shemela shululu na wamepata watoto wao mapacha
Kabisa kaka. Bora uzunguni sio huku uswahilini kwetuUnajua majirani zetu ndio wanao tufwatilia kuliko hata wewe unavyo jiweka
Na wizi mwizi wa kwanza ni jirani yako
Ukijichanganya imekula kwako.Hizi changamoto kweli
Kweli mi siku hizi nikikuta kitu hakipo siuliz hata majiraniKabisa kaka. Bora uzunguni sio huku uswahilini kwetu
Huwa nafuatilia hii mitandao ya kuuza vitu ila uhakika wa kupata bidhaa halisi ni Mdogo sanaUkijichanganya imekula kwako.
DahHalafu ujinga wa vitu kama nguo, viatu na vinginevyo huwezi jua material yaliyotumika kwa picha, unadhni ni cotton unakutana na kitu cha nylon 100%
Yupo sema ameniambia yupo busy sana nilichat nae pm juzi kati alikuwa ananisalimiaHuyu mdau shululu yupo?
We mzee umejitoa kabisa utanzaniatanzania na watanzania kuna shida mahali