Aisee.
Kamata fursa mkuu.
Jionee tofauti:
Angani hakuna purukushani lkn rubani anaendesha ndege kistaaeabu
Ardhini fujo nyingi lkn madereva wana mbwembwe km mbuzi
........
Nahrene amerudi mkuu.Hahahaha kijana alikua anahangaika kuuliza humu kutwa kucha
Mashart ya Nimpendae
Lazma awe Barcelona
Lazma awe Simba
Lazma awe Spain
Lazma awe France
Lazma awe Argentina
ASIIPENDE MAN U NA AICHUKIE MADRID Na YANGA
HAPO NIKO TYAR KUFANYA CHOCHOTE AKIPENDACHO
sizani kama ana sifa hizi
Good morning brother.Gudi moningi jaman
Linamo hebu chungulia hapa.
Mashart ya Nimpendae
Lazma awe Barcelona
Lazma awe Simba
Lazma awe Spain
Lazma awe France
Lazma awe Argentina
ASIIPENDE MAN U NA AICHUKIE MADRID Na YANGA
HAPO NIKO TYAR KUFANYA CHOCHOTE AKIPENDACHO
sizani kama ana sifa hizi
Morning Mr Crystal palaceGudi moningi jaman
Labda mgomba na sabuni atakizi hivyo vigezo vyako
Mashart ya Nimpendae
Lazma awe Barcelona
Lazma awe Simba
Lazma awe Spain
Lazma awe France
Lazma awe Argentina
ASIIPENDE MAN U NA AICHUKIE MADRID Na YANGA
HAPO NIKO TYAR KUFANYA CHOCHOTE AKIPENDACHO
sizani kama ana sifa hizi
Wachunguze mbuzi mjini utagundua wana mbwembwe kushinda ng'ombe ....kila sehemu nao wapoeti kama mbuzi!
Kuna wale mbuz pale buguruni wanavukaga highway lakin cjawah kuona wamegongwaKuna siku nilimgonga bodaboda mnya viroba ilibaki kiduchu tu Niue....yaani anakatiza mbele ya gari km mbuzi bhana
..........
Umemficha wap sasa mbona hatumuoni?Nahrene amerudi mkuu.
Mbuzi wachawi waleKuna wale mbuz pale buguruni wanavukaga highway lakin cjawah kuona wamegongwa
Gmorning kiongoz, tunatambua uwepo wakoGudi moningi jaman
We unamtaka wanini?Umemficha wap sasa mbona hatumuoni?
Hahahahahaha hapo kweli tofauti ni kubwaJionee tofauti:
Angani hakuna purukushani lkn rubani anaendesha ndege kistaaeabu
Ardhini fujo nyingi lkn madereva wana mbwembwe km mbuzi
........