Niletee tu hayo mafuta.......tutainjoy sana
Hapa sasa hivi unanipandisha mzuka hadi natamani nikuletee mafuta ya korosho maana mjini mnalalamika sana
Huyu wa nne unampa hiyo ahadi ...nitumie na mimi ankali....tutainjoy sana
Hapa sasa hivi unanipandisha mzuka hadi natamani nikuletee mafuta ya korosho maana mjini mnalalamika sana
Kipendaa rohoooNiletee tu hayo mafuta...
Ila mbona file lako lipo hovyo sana jamani
....muuza samaki nilisingiziwa, mtu hata jina nilikuwa simjui, anakuja usiku anaondoka asubuhi jina nitalijulia wapi!?Sio fatuma tu yupo na muuza samaki wake
Ha ha ha...Kipendaa rohooo
Kuna majirani niliwasikia wakisema
Hili chaka ni lako ...Ha ha ha...
Toa tamko basi Shem
Niletee tu hayo mafuta...
Ila mbona file lako lipo hovyo sana jamani
Hili chaka ni lako ...
Naomba umnyooshe anko wangu
Hapa mbwai na iwe.......uongo dhambi, kwa kweli file langu lipo hivyo sana, watu wa masjala wana visa sana, hata cover hawajaliwekea.
Ila content ziko vizuri sana, lifungue uone.
Usimsikilize anko wangu, tuna ugomvi wa ukoo
Tuendeleeeeeeeee
Tuendelee ama tusiendelee?
Watu wa Masjala wamekupa file jekundu Uncle ikimaanisha file lako ni Siri ila siri Kuu....uongo dhambi, kwa kweli file langu lipo hivyo sana, watu wa masjala wana visa sana, hata cover hawajaliwekea.
Ila content ziko vizuri sana, lifungue uone.
Usimsikilize anko wangu, tuna ugomvi wa ukoo
Hapa mbwai na iwe...
Watu wa Masjala wamekupa file jekundu Uncle ikimaanisha file lako ni Siri ila siri Kuu
Sawa Uncle, mimi nakusikiliza wewe, wewe peke yako tu
Anko mm naanza wapiii kukupondaa...wewe ndo si ndo mjomba na mjomba ni mama ...nilikuwa nakumbushia zile habar za zaman kabla hujakutama na makiiiiiiiiii....sasa anko twende taratibu, unajua kabisa mpwao ninapataka hapo sasa usiharibu sana.
Huu ni wakati wa wewe kunifagilia, mbona mimi kule kwa yule cheupe wa bank nilikufagilia sana.
Wewe nifagilia nikishindwa ndiyo unipondee kabisa hadi wasijue kama sisi ni ndugu