Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,214
Kwema AnkooMarahaba mama, kwema?
Umenisusa
Kwema AnkooMarahaba mama, kwema?
Ngoja tuendelee kumtazamia Bwana[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ipo siku tu haina jina nitakuja kuwapungia
Jana nimerudi kijijini ghafla,nisamehe sijatimiza ahadiKwema Ankoo
Umenisusa
Mara nyingi nipo hapa japo nachunguliaga kwa dirisha... Leo nadhani...labdaHahhaha kwema sana shemeji yangu
Nimefurahi sana leo kukuona hapa karibu sana
Ni kweli shemeji nakuonaga kimyakimya leo umeingia ndani kabisa hahhahaMara nyingi nipo hapa japo nachunguliaga kwa dirisha... Leo nadhani...labda
Bwana hawai wala hachelewi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja tuendelee kumtazamia Bwana[emoji23]
Ile rangi nadhani hahahaaNi kweli shemeji nakuonaga kimyakimya leo umeingia ndani kabisa hahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile rangi shemeji yangu ndio imekufanya umeingia ndani kabisaIle rangi nadhani hahahaa
Huu ugonjwa wa kisukuma umeniingia jumla [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile rangi shemeji yangu ndio imekufanya umeingia ndani kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ugonjwa wa kisukuma umeniingia jumla [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kitabia na kimaumbo msuku na mnyaki ni ndugu moja. Mnyaki akioa msuku anakuwa ameoa nyumbani na msuku akioa mnyaki ni vivyo hivyo... Hatujawahi kuchekana hata kwenye ushamba wetu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila shemeji nyie wanyaki, waha kama wasukuma tu kupenda rangi nyeupe
[emoji23][emoji23][emoji23] hamjawahi kuchekana hata kwenye ushamba wenu shemeji nimechekaKitabia na kimaumbo msuku na mnyaki ni ndugu moja. Mnyaki akioa msuku anakuwa ameoa nyumbani na msuku akioa mnyaki ni vivyo hivyo... Hatujawahi kuchekana hata kwenye ushamba wetu [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anne sijaziki mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nina akili auntie sijaziki mimi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie unajifanya una akili eeeh? Wakati......
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mmh auntie, wakati ulijazika[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nina akili auntie sijaziki mimi kabisa
[emoji1787][emoji1787] Hapana auntie nilimsikiliza auntie yangu maki walaaaa si unajua me nikitaka kupost kitu inaenda na moodMmh auntie, wakati ulijazika[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Sisi ndio washamba wa taifa,tumekosa mpinzani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] hamjawahi kuchekana hata kwenye ushamba wenu shemeji nimecheka
Siongelei hicho auntie, ujue bado nawaza ilikuwaje kuwaje yaani sipati majibu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787] Hapana auntie nilimsikiliza auntie yangu maki walaaaa si unajua me nikitaka kupost kitu inaenda na mood
Mh auntie ebu njoo tu chemba [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sielewi hataSiongelei hicho auntie, ujue bado nawaza ilikuwaje kuwaje yaani sipati majibu[emoji848][emoji848][emoji848]