Mungu Ibariki SSC...[emoji445] KWA MKAPA HATOKI MTU [emoji445]View attachment 2174110
Ameen auntie [emoji120][emoji120][emoji120]Mungu Ibariki SSC...
Mungu Ibariki Tanzania...
Unaenda kwa Mkapa Aunty Akee?Ameen auntie [emoji120][emoji120][emoji120]
Hilo ni kweli kabisaKwenye tuzo za jana usiku, nimezitazama kwa umakini mkubwa sana ni kama ulikuwa usiku wa Ali Salehe Kiba akiokota hii na ile
Kwanza kabisa naamini ana fan base kubwa sana kuliko aliokuwa anashindana nao hivyo mtaji wa kura anao tena mkubwa tu
Pili mziki wa Kiba ni mkubwa sana, sidhani kama kuna tuzo ambayo hakustahili bali kuna zingine pia niliona alipaswa kuzikwapua
Ni bahati kuwa na Msanii kama Kiba, great talent na mziki wake unaishi sana, sidhani kama unachoka kuanzia hata Mac Muga mpaka SaluteView attachment 2173707
Mmmh! Sitaki dhambi mimi[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Mungu Ibariki SSC...
Mungu Ibariki Tanzania...
Auntie team kiba weweHilo ni kweli kabisa
Tunajua huipendi simba tuache na team yetuMmmh! Sitaki dhambi mimi[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
For life[emoji1787][emoji1787]Auntie team kiba wewe
Nimewaacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunajua huipendi simba tuache na team yetu
Nimeliona hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]For life[emoji1787][emoji1787]
He he he..Dhambi gani tena?Mmmh! Sitaki dhambi mimi[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]