Sio malaika nachangia kila sehemu,umbea nautaka na jamii intelligence naenda masuala ya kupretend siwezi!Hata me kupretend kumenishindaga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unajifanya malaika mwisho wa siku unaumbukaSio malaika nachangia kila sehemu,umbea nautaka na jamii intelligence naenda masuala ya kupretend siwezi!
Penye hoja ya maana ntachangia kimasihara nachangia pia[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]maana hayo ndo maisha yangu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] handbags zimewaumiza pale chumbani tu pa kubadilisha nguo na habdbags narudia tena sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatumtaki selfika huyu sisi tuna magodauni tu kule!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Inabidi uje na kule Selfika uweke hizo picha
Wale wenzangu na Mimi waliopo stoo waone pochi za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameziona huku kimyakimya ndio maana wamekuja na id zao nyingine kutoa povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Inabidi uje na kule Selfika uweke hizo picha
Wale wenzangu na Mimi waliopo stoo waone pochi za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo selfika hamnitakii mimi [emoji1787][emoji1787] nitakuja tu kilazimaHatumtaki selfika huyu sisi tuna magodauni tu kule!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app