Hawana jeuri hiyo. Wamekusanyana kikundi cha waoga na hamna kitu kibaya kama mtu akuchambe na ushahidi anao. Ndo bwana na bibi wakamtuma shosti yao aje aandike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Yaani wananiogopa sanaaa na me nataka waje na I'd zao kongwe ili tupewe ban vizuri
Doooh. Ukute ndo wale wanaojifanyaga hawanaga muda na watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Naomba huu ubuyu vizuri WhatsApp my ndugu[emoji23][emoji23][emoji23] kuna dada kaumbuka alikuwa anatuma sijui pm akaituma makapuku
Akili ni mali my dear.Kijukuu cha mtume. Imagine watu wakuseme WhatsApp na pm na bado ukapata screen shot, bado tena mwingine ascreen shot azirudishe humu humu. Hao wamama na mubaba wao mbabaifu wangejua tu upupu wanaodanganyana ni uongo. Mungu hawezi kuumbua watesi wako hadharani hivi ujue.
Nyie wamama huo muda mnakuja na matusi sijui kuliwa (hakuna ajabu kabisa kwenye kukulana washamba tu ndo wanaonaga big deal) mshauri mubaba wenu aache kujipa umuhimu na kujiongelesha uongo. Na mtumie akili huyo mubaba anatumia mvinu ya divide and rule ila kwa kuwa kikundi chote hamna akili mnatumia infos za uongo mnazopewa kumuattack mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuajeee ndio haohaoDoooh. Ukute ndo wale wanaojifanyaga hawanaga muda na watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Naomba huu ubuyu vizuri WhatsApp my ndugu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawana jeuri hiyo. Wamekusanyana kikundi cha waoga na hamna kitu kibaya kama mtu akuchambe na ushahidi anao. Ndo bwana na bibi wakamtuma shosti yao aje aandike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nahisi nitaachika [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lee anavyonisema jamaniii hatakiTulia shemeji.
shangazi nimeamka poa kbs.mambo yanaendaje? Nasubiri magazeti na je wajuaWe mzee jamani umeamkaje lakini
Ila sikutegemea kama mpk yule ana I'd mbili aseehh!kaahhSema umewatikisaaaaa. Mpaka kufufua ID zao fake. Waoga sana kama wanajiamini wangekuja na ID zao.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukosee njia tusutwe kama hivi ila binadamu jamani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unaafiki mbaya sana!mi nshashindwa kupretend kwa kua najijua ni mwanadamu i have strength and weaknesses zangu kama mtu atanihukumu tu kwa mabaya yangu sawa ntashukuru piaDoooh. Ukute ndo wale wanaojifanyaga hawanaga muda na watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Naomba huu ubuyu vizuri WhatsApp my ndugu
Magazeti nishaweka we mzee panda juu tushangazi nimeamka poa kbs.mambo yanaendaje? Nasubiri magazeti na je wajua
Hata me kupretend kumenishindaga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unaafiki mbaya sana!mi nshashindwa kupretend kwa kua najijua ni mwanadamu i have strength and weaknesses zangu kama mtu atanihukumu tu kwa mabaya yangu sawa ntashukuru pia
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app