Makapuku Forum

Kwahiyo unanisimulia habari za mafurushi au nikununie?
Auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamekuja na I'd yao nyingine jana mimi nataka waje na I'd zao kongwe hizi za nyuma ya mlango wala sina mda nazo kabisa waje na I'd zao kongwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikichukia sasa!!!..Nina Bibi yangu huyo Mzaa Mama akikuelezea utacheka mno..

Balaa huwa naruka juu kama Mmasai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nacheka kama mazuri[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie natamani nikuone unavyoruka
 
Yaani kazi zimenibana bina nashindwa hata kupumua[emoji1787][emoji1787]

Sina hili wala lile naona tu stoo magodauni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ukiwa jf huwezi pata stress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] handbags zimewaumiza pale chumbani tu pa kubadilisha nguo na habdbags narudia tena sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa au kule nimecheka [emoji1][emoji1][emoji1]kuna mtu aliskirini shoti akajisahau akatuma humu sijui alikua anamtumia tobaaa!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani huyu dada kaumbuka wanaanzaga hivyohivyo halafu tunavipata alikuwa anatuma pm akatuma makapuku umbea huu unaweza muuwa mtu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani huyu dada kaumbuka wanaanzaga hivyohivyo halafu tunavipata alikuwa anatuma pm akatuma makapuku umbea huu unaweza muuwa mtu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana Jana[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aliko anajutaa!umbea mbaya sana!
Wasimamia kucha wapo wengi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…