[emoji2][emoji2][emoji2]acha umbea wewe!!!!ulikua wapi!povuuu lilijaa humu plus makasirikioNaendelea vizuri
Nimepitwa jamani[emoji1787]
Ni nani huyo alikuwa analike comment??
Hapa au kule nimecheka [emoji1][emoji1][emoji1]kuna mtu aliskirini shoti akajisahau akatuma humu sijui alikua anamtumia tobaaa!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]Bina nihadithie ilikuwaje??
Badooo sijaongea na baba mupenziiiUle ulale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka Leo jamani!!!yaani !!ungekuwepo ungekufwaaa!non[emoji4]
Wacha niendelee na kazi iliyonileta.
Kumwaga likes na kusoma" je wajua??"
Yaani kazi zimenibana bina nashindwa hata kupumua[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]acha umbea wewe!!!!ulikua wapi!povuuu lilijaa humu plus makasirikio
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
DuhHapa au kule nimecheka [emoji1][emoji1][emoji1]kuna mtu aliskirini shoti akajisahau akatuma humu sijui alikua anamtumia tobaaa!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wacha wee[emoji3059]
Hahahaha ulitaka alike za nan ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]hahaha!!kwenye simu mchawi bando tu live hatugombani kamwee!!!
Pole kwa kigugumizi nyie ndo ngumi mkononio
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Za Maki tu[emoji23]Hahahaha ulitaka alike za nan ?
Aunt na yeye katekwa auZa Maki tu[emoji23]
Kichwa kama zambarau.Yupo Shem..
Kwa namna alivyo..saa hii anaingiza kuku ndani then akakamue Maziwa[emoji23]
Cc Espy Eroni
Unamdanganya nani?Afadhali ya wewe unapenda Amani na Ugomvi unauweza[emoji23]
Mimi sipendi Ugomvi jamani...tena kama sasa hivi..Nimekuwa ni mtu wa ku'ignore vitu si kawaida....Ila ikitokea..Uwiiii[emoji23]Na hiki kigugumizi sasa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamdanganya nani?
Amemaliza kuhudumia mifugo yake[emoji23]Hahahaha....ndo anaingia?
Kwani kuna habari gani humu jamani?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji11]nafikir hvyooo!!atarudi kivingine yule maana anatafuta la rohoni watu!!
Wamepita nae!ila nilikua namheshimu sana shogaa kumbe mnaafiki vile kaahh!!
Naona kwa sasa ataingia na I'd yake nyingine...
Kukaa kimya kwio sana
Humu hakuna mke mwenziwe nna wangu ananipendaa[emoji28][emoji28][emoji28]!!!na watoto wangu!
Afu sisheagi mume na washamba miyeee!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Na nimepitwa kweli, jamani jamani!! Mnisimulie basi[emoji57][emoji57]Aunt mnonko asijue kabisa