Makapuku Forum

Ahsante Auntie...Ngoja nimsome Mke wa Shaaban[emoji23]
Naye ana magazeti jamani[emoji23]
 
Aisee ukinatufutia wale jamaa zangu wa zamani ntakupa posho nono....
Kuna yule Briz, Bitoz, Bailly5, Shululu na dada mmoja alikuwa anapenda sana muziki ana avatar ya Lauryn Hill.
Uncle hiyo posho fanya kunitumia tu uncle wangu [emoji847][emoji847] hao watu naona wamepumzika na jf ila Bitoz siku moja moja huwa namuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…