Makapuku Forum

...nilikuambia aunt, uvumilivu na kusamehe ndiyo kitu pekee wakati ukiwa na anko wangu.
...yupo atakuja katekwa na shemeji wa katibu tarafa anaitwa Halima cheupe , anko wangu Lee msimu huu anatiririka tu na vyeupedawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anko mwaka huu sio wako kabisa ....yaan unatumia nguvu kubwa kumuaminisha aunt yako kuwa kakosea kunipendaa tena ila ndo hivo hakusikiii kwa lolotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…