Makapuku Forum

Anko unaweza kujitahidi kutokuwa na wivu kidogo ,najua huamini unachokiona ila mdo ukwelii napendwaaaa tenaaaa tena mahaba ndi ndi ndi

Mengine yote mimekuachia wewe na namba yangu mpya usigawe ...kwenye hili najua uko na mimi
 
...kweli kabisa, namba mpya hiyo hata iweje siwezi kuigawa anko.

Ila kwa mwendo huu wa Simba nikiigawa itabidi tusameheane tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…