Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,820
si mchezo siku hy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hi utu ya kiba hiii mpaka kuwe na chupa za kijani ngoja mchumba angu Lee aninunulie box la heinekenn yaani siku hiyo itakuwa siku ya utu tu ya kiba
Nimeipokea heshima hii uliyonipatia na kwa uzito huo huo sio kama wa zitto nakurudishia maana wewe ni mtu mwema sanaBinamu heshima yako
...shwari mdau!?Tukutane naniliu park..
Sanaaa we mzeesi mchezo siku hy
Jamani usipotee hivi sana we mzeeahsante shangazi ! Nami nilikmiss mnoo
Uncle Unachoma....Unamchomea......yule dada ulimwambia kwako umeunga solar power aje kuchaji simu anakutafuta hakupati!? Ananipigia hapa
Woiiii nipo lindo mieTukutane naniliu park..
We muache amuharibie mjomba ake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema anko unachokitafuta utakipata...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nimewaza vile ilivyokuwa kipindi kile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una maneno et chaka la zamani [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Emoji ya Fire please [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anabadili matundu ya mkanda kila siku
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hii mbona trela, picha kamili bado, usiombe hiyo siku tuone zulia la manyoya na rimote tatu... Huwa Kuna jaa mashairi ya Mario mwanzo mwisho [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Remote tatu,tumeanza kuongea lugha moja sasa
Dj tuletee Utu ya King Kiba
Yaaaani...We muache amuharibie mjomba ake
...anko wangu ni master, yaani legendary king Kong konki konki, jiwe stone, mukulu bilanga, mopao suke chile mutu ya watu, alishaimbwa na band ya Akudo.We muache amuharibie mjomba ake
Hapana shemeji, sio nongwa ila kila nikishika simu kuandika jambo kuhusu anko wangu basi roho inapata kigagaziko. Anko wangu ni kocha, labda kama hajakuambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani tu acha auntie nimemmiss mchumba angu sijui nani kamteka jamani Lee wangu uko wapi jamani nimekumiss mimi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimecheka...na haya mambo yalivyo na Ufaller sasa....Waiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app