Makapuku Forum

Pape Ousmane Sakho:
.
“Nimejisikia mwenye amani na furaha kufunga katika mechi iliyopita na natamani kuendelea kufanya hivi zaidi. Nafanya mazoezi yangu binafsi mengi zaidi sasa baada ya yale ya timu ili kuimarika na kufikia kile ninachotaka kufanya,”
 
[emoji599]Wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu huu ni:
.
[emoji1241] Bakary Mwamnyeto
[emoji1241] Farid Mussa
[emoji1241] Zawadi Mauya
[emoji1241] Yassin Mustafa
[emoji1241] Kibwana Shomari
[emoji1241] Deus Kaseke
[emoji1059] Yacouba Sogne
[emoji1060] Saido Ntibazonkiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…