Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mara naona like mara haipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo ulibonyeza bahati mbaya wakati unanifatilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaniiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenzenu sijajua kama kuna watu wananifatilia hivii kumbe wanaingiaga kimyakimya kunisoma sasa leo like bahati mbaya imemuumbua
 
Back
Top Bottom