Imeandikwa na @swalehmawele
Pablo ameamua kuufungua mchezo, mfumo wa 4-2-3-1 kama kawaida kitu kimoja tu kwao wameshindwa kutengeneza link up katika final zone, US Gendarmerie ni hatari wanapokuwa na mpira, wanashambulia flanks ( hasa ya kushoto ), Zimbwe JR out of form kabisa, anapitika kirahisi mno.
Ni vyema kama Pablo akitoka katika 4-2-3-1 na kwenda na 4-4-2 ( Diamond ) ili kulifinya eneo la midfied ambalo US Gendarmerie wamelitawala kidogo, lakini pia awe na wide midfieders wawili ambao wanatanua kuziba flanks na mbele awe na watu wawili ambao mmoja ana win aerial balls mwengine azi win second balls kutokana na aina ya uwanja flowing football inaweza kuwa ngumu kidogo.