Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
BARAZA ANATAKA NAFASI ZA JUU
Kocha wa Kagera Sugar Francis Baraza amsema malengo yao msimu huu ni kushika nafasi tano (5) za juu kwenye msimamo wa NBC Premier League kutokana na usajili waliofanya.
“Malengo na mipango yangu msimu huu nikiwa Kagera Sigar ni kumaliza katika tano bora na kuifanya timu iwe bora kwenye ligi ya Tanzania kutokana na vijana wanavyocheza.”
“Muunganiko wa timu na vile wanavyocheza unanifurahisha, mimi kama kocha kazi yangu ni kuwaunganisha vijana waweze kucheza vile ninavyotaka.”