Sure Boy, Mudathir, Moris wapigwa Stop Azam
.
"Ni mwezi sasa tangu tusimamishwe na kifupi hakuna ambaye anajua kati yetu ni kwa nini labda tumesimamishwa yaani unavyoona huko mitandaoni watu wakiongea na sisi tunaona hivyo hivyo hatujui chochote na hakuna ambaye
kati yetu anajua sababu ya kusimamishwa kwa muda usiojulikana,"
.
Kwa upande wa Mtendaji Mkuu wa zamani wa Azam, Saad Kawemba kuhusu wachezaji Aggrey Morris, Mudathir Yahya na Sure Boy:
.
“Unaposimamisha mchezaji inbidi ujiangalie je Unafaidika au unamnufaisha uliyemsimamisha? Kwa sababu ukiangalia Azam wanashindwa kunufaika kutokana na matokeo wanayopata, hivyo viongozi walipaswa kutumia njia mbadala kwenye adhabu ili kupata kilicho bora kwao.”