na wamekatwa mshahara wa wiki ...Kocha wa Al Ahly mambo magumu
.
Pitso Mosimane amekalia kuti kavu kwa kitendo chake cha kupoteza mchezo wa Fainali ya Super Cup japo jana dhidi ya El Geish na muda wowote anaweza fungashiwa vilago
View attachment 1948417
Sio timu ya kufanya kazi hii, amewapa kombe la afrika mara mbili, ndani ya misimu miwili kawapa makombe kama ma5 hivi lakini bado tu. [emoji23]presha kweli
wao wanaamini ligi ni mali yao si unaona majuzi waliongeza ukubwa wa eneo la kutunzia makombeSio timu ya kufanya kazi hii, amewapa kombe la afrika mara mbili, ndani ya misimu miwili kawapa makombe kama ma5 hivi lakini bado tu. [emoji23]
Ni mafala tu na mambumbu wa mpira.. Hata wampate pep hawawezi kushinda kila kitu na kwa kila msimuwao wanaamini ligi ni mali yao si unaona majuzi waliongeza ukubwa wa eneo la kutunzia makombe
kabisaaNi mafala tu na mambumbu wa mpira.. Hata wampate pep hawawezi kushinda kila kitu na kwa kila msimu