Katika maisha fanya kile kinachokupa furaha bwana na amani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana ukipatia utasemwa ukikosea utasemwa vilevile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi najijua mwenyewe siangalii flani atasema nini hiyo ni juu yake nafanya vile vinavyonipa furaha na amani roho yangu iridhike tu hata babe wangu analifahamu hilo
[emoji6]