Wamezidi sasaTaarifa kwa mujibu wa tovuti ya MIRROR ni kuwa PSG tayari wameanza mpango wa kumnasa Cristiano Ronaldo mwishoni mwa msimuu huu kama Mchezaji huru
PSG wamekubali Kylian Mbappe kuondoka huru kuelekea Real Madrid msimu ujao ila wao watajipooza na saini ya Ronaldo
Ndoto ya Rais wa PSG ni kuwaona Ronaldo na Messi ndani ya timu moja na Wamiliki wameshaipitisha
Busy summer ahead of us next year View attachment 1890745
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii simba inataka kutuua hapa tulipo wameshatuvuruga sasa mara paap wanamtambulisha sarpong
Hahhahah yaani tutakufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahah yaani tutakufa
Saa tisa bado tuBaba wawili subiri saa tisa bwana
Hivi baba wawili unataka kujua wachezaji wa Simba wa nini ebu waangalie wa Yanga wako hao wacongoSaa tisa bado tu
Hahaha subirini mtambulishwe sarpongHivi baba wawili unataka kujua wachezaji wa Simba wa nini ebu waangalie wa Yanga wako hao wacongo
Dah Okwi tena hahaHalafu nahisi kama Okwi anakuja anakataa au Kanoute
Ujue mwenyewe sielewi mchezaji gani wanamtambulisha nusu nusuHahaha subirini mtambulishwe sarpong
Nimesema tu jamani maana simba wanatuvuruga mashabiki waoDah Okwi tena haha