Makapuku Forum

“Baada ya uchambuzi wa kina Kamati imependekeza Serikali itoe taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa wa Covid 19 na ichukue hatua madhubuti kuimarisha hatua zote za kinga katika ngazi zote ili kuepusha wimbi la tatu la ugonjwa huo”———Mapendekezo ya Kamati ya Tathmini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia Suluhu

Tanzania ishiriki ipasavyo katika maamuzi na itekeleze maazimio ya Kikanda na Kimataifa iliyoridhia katika Jumuiya za Afrika Mashariki, SADC, AU na WHO”———Kamati ya Tathmini ya Corona
 
“Serikali iendelee kuzingatia mazingira ya Kitanzania katika udhibiti wa Covid 19 katika kuamua kuweka au kutoweka shuruti ya kujifungia (lockdown) na kuwa na ubunifu ili kuruhusu ukuaji wa uchumi na kuimarisha sekta zinazochangia uchumi”———Mapendeezo ya Kamati ya Tathimini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia
 
Hapa sawa...

Mimi binafsi sitochanjwa...
 

Hatutaki lockdown...
 
Kwa wakati ujao sijali kitu Mungu kaumba kusahau utaumia na utasahau na maisha mengine yanaendelea

Naangalia wakati huu naangalia furaha ninayopata [emoji4] na mapenzi ninayopata kwa mpenzi wangu na kila kitu chetu kinachotupa amani na furaha
Ameeeeeeen sina la kuongeza umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…