ππππHii ilitokea mwaka 1996 huko Hong Kong, Jambazi mmoja aliyeitwa #Cheung Tze Keung alimteka nyara mtoto wa tajiri mkubwa wa Asia #Li Ka-shing na kumtapeli tajiri huyo Dola za kimarekani milioni 130 kama fidia ya kumuachia mwanae, baadaye Jambazi huyo alimpigia simu tajiri #Li Ka-shing na kumuomba ushauri wa jinsi ya kuwekeza pesa hizo.View attachment 1767697
πππ
Hahaha.. walimwengu wana mamboMwanaume mmoja wa kituruki kwa jina la Ibrahim Yucel alikifungia kichwa chake kwenye kibanda kidogo kama kofia ili kujisaidia kuacha kuvuta sigara.
Yucel alifikia uhamuzi huo baada ya majaribio yake kadhaa ya kutaka kuacha kuvuta sigara kushindikana.
Mkewe ndiye alikua anahifadhi ufunguo wa kibanda hiko na alikua anamfungulia wakati wa chakula tu.View attachment 1767709
π π πUnanyimwa mke unapewa boga [emoji23][emoji23]View attachment 1767711
Inaonekana kuacha sigara ni ngumu sana eenhHahaha.. walimwengu wana mambo