Nawaombea tu Tff walalamike Fifa yawakute kama ya ChadYanga nao ni viazi...Mpaka raundi ya kwanza inaisha, walipokuwa wanaongoza ligi...hatukusikia haya maandamano...walipopewa penalt ya wasiwasi siku ile ccm kirumba iliyofungwa na kisinda, hatukusikia hizi lawama...ila mambo yalipogeuka wameanza kutafuta sehemu ya kufichia udhaifu wao...wana wa manipulate mashabiki wao.
TFF hawawezi enda Fifa...ila tu nasubiri Smart911 aje alike post zako.Nawaombea tu Tff walalamike Fifa yawakute kama ya Chad
TFF hawawezi enda Fifa...ila tu nasubiri Smart911 aje alike post zako.
Siku imeenda vizuri sana leo jioni..Smart njoo ulike post zangu
HahaahahSiku imeenda vizuri sana leo jioni..
What a wonderful day...
Oops!! Nimejisahau... kumbe mengine hayawahusu...Hahaahah
Umeambiwa uje kulike post zangu tu