Makapuku Forum

Wale mliokua mnaniuliza kama Ota Benga alikua ameoa jibu ni ndio alioa wake wawili na alikua amewazalisha watoto wawili.
.
.
︎Ota Benga alizaliwa 1883
︎1904 alipelekwa marekani kutoka congo kwaajili ya maonyesho
︎alifariki March 20/1916
︎chanzo cha kifo chake,alijiua kwa kujipiga risasi kutokana na depression
︎alizikwa Virginia
︎alikua na urefu wa ft 4 na 11 inch ( 150cm
︎wake 2
︎watoto 2
 
Inasemekana Hayati D.r Jonh Pombe Magufuli ni raisi wa pili aliyeimbiwa nyimbo nyingi na wanamuziki barani Africa, wa kwanza alikua Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga aliyekua raisi wa Zaire ( congo) kuanzia mwaka 1965 hadi 1997.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…