Makapuku Forum

Hizi ni picha nyingine za Wananchi wakiwa wamejitokeza Barabarani kuuaga mwili wa Hayati Magufuli wakati ukiwa unapelekwa Uwanja wa Uhuru.(swipe kuona picha nyingine)
RIPHayatiMagufuli
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba, tayari kwa Kikao cha Kamati Kuu.
 
Moja kati ya matukio yaliyogusa hisia za Watu wengi leo ni hii picha ikimuonesha Mtoto aliyejipenyeza katikati ya kundi la Watu wakati mwili wa Hayati Magufuli ukitolewa Kanisani St. Peter’s na akatumia sekunde kadhaa kutoa heshima zake za mwisho kwa Hayati Magufuli kwa kupiga saluti, Watu wengi wameipost picha hii mitandaoni na kila mmoja akiandika la kwake kuhusu namna ilivyomgusa.
RIPHayatiMagufuli
 
Waziri Mkuu Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Hayati Magufuli leo kwenye Uwanja wa Uhuru.
RIPHayatiMagufuli
 

Attachments

  • 20210320_181223.jpg
    45.9 KB · Views: 3

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…