Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Hivi unawezaje kuwa
Yanga= vyura yeboyebo
Man u = Mashetani
Madrid= yangeyange
Arsenal = Arse8
Liverpool = liverfool
Chelsea = Yokobus
Raha ya pekee ni kuwa Barcelona[emoji4]
![]()
Umbea FC
.............
HahahahaUmevurugwa na nani vile? [emoji12]
Huyo mamluki keshahamia Azam
Huyo mamluki keshahamia Azam
![]()
[emoji30][emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 348444yanga a.k.a yeboyebo
Ndo viatu vyako vya kutokeaView attachment 348444yanga a.k.a yeboyebo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko chura fc mkuu ndo umechemka kwel kwel
sio kidogo kwanza mm najiulizaga unawezaje kuwa Chura Fc[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko chura fc mkuu ndo umechemka kwel kwel
chura fc=simba fcsio kidogo kwanza mm najiulizaga unawezaje kuwa Chura Fc
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] chura hawawez kuwa = na Wekundu wa msimbazichura fc=simba fc
sio kidogo kwanza mm najiulizaga unawezaje kuwa Chura Fc
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Okwi na Mafisango walihusika kwenye 5:0![]()
Mlikula rambirambi ndo LAANA
Me huyu mtu na Okwi niliwakubali sn
......
Chura fc=wekundu wa msmbz ndo uyoooo
Kweli mkuu nakumbuka hadi Kaseja alifunga.....kutesa kwa zamu bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Okwi na Mafisango walihusika kwenye 5:0
HawaelewiiiChura fc=wekundu wa msmbz ndo uyoooo
PNC 1