Shukrani madam kwa magazeti
Shukrani madam kwa magazeti
KaribuuShukrani madam kwa magazeti
Asante mkuu karibu sanaShukrani madam kwa magazeti
Unafurahiii mkuu ...make anko binamu kashaniambiaa ukwelii..unafurahia nikijiliwaza na hiz nyimboHa ha ha
Ha ha ha binamu, kwa hiyo kuanzia leo mmenitoa kwenye ukoo sio?...anko, kwa mujibu wa ramli chonganishi ambayo tu ndo kwanza nimemaliza kuiangalia hapa inaonekana kabisa Nigendako siyo ndugu yetu na ana nia mbaya sana na wewe, matatizo unayopitia ya kugonganisha wanawake kila mara na hujifunzi yeye anayafurahia badala ya kukusaidia.
Sasa tunafanyaje anko? Leo ni furahiday, hapa njoo pa siku ile ila usije na yule mwanamke MC maana anaongea sana alitaka kugombana na teller wako bila sababu za msingi.
Mengine jiandae maana mganga katoa masharti ya kimkakati
Umemjua Marioo baada ya kutoka kwenye Ubaby hadi kwenye MkuuUnafurahiii mkuu ...make anko binamu kashaniambiaa ukwelii..unafurahia nikijiliwaza na hiz nyimboView attachment 1690069
Tokea jana na yule anisher tushakunyanganyaaHa ha ha binamu, kwa hiyo kuanzia leo mmenitoa kwenye ukoo sio?
Sio marioo tu na gym ntapigaa kupunguza mawazoUmemjua Marioo baada ya kutoka kwenye Ubaby hadi kwenye Mkuu..
Anza na kuimba kabsa, pengine utafikiliwa msamaha
Baba wawili una kauchochezi mambo unayoyapenda hayaUmemjua Marioo baada ya kutoka kwenye Ubaby hadi kwenye Mkuu..
Anza na kuimba kabsa, pengine utafikiliwa msamaha
Umeshindajee mkuuBaba wawili una kauchochezi mambo unayoyapenda haya
Ile namba kwa kweli ndo ugomvi mkubwa, unajua kabisa ana mdogo wake, mrembo sana halafu wewe unaniwekea ukuta kama wa Juventus, faulo napigaje sasa!?Kisa nimekunyima ile namba au ,jana tumeamua sio mjomba huyu ni wa kufikia
Aliamua kuwa baba,