...maombi ya mnyororo yamemfanya awe busy kidogo halafu kupunguza fitna nilitumia mbinu za anko Lee akaibiwa simu na nikamnunulia kitochi, kinasaidia kusoma baibo
...aunt, niliibiwa simu sasa naingia humu kwa computer ya ofisini na mwaka unapofungwa mambo yanakuwa mengi sema nasoma kila siku maana hapa nina family ya maana