Makapuku Forum

Ha hahahaha, ada na kodi zimelipwa na bado naendelea kukopa.

Anko mbona hujanialika kwenye hii issue yaani nimesikia tu kwa moudgulf kuwa umeachana na cheupe dawa umevuta goma la utete
ankoo hapo ndo huwa sikuelewii , wewe si ndo wa kwanza kunambia kwa kuwa mtoto mlito shangazi yako mpendwa amepata ampendae niangalie utaratibu mwingine na hapo ulitajka ABJ unikutanishe naye kwa kuwa wewe umekuwa ukimsaliti mchana kweupe , leo hii unajifanya hujui .... kweli ndo maana mda mwingine nina uwasiwasi ana uankoo wakoo kwangu
 

...anko, ABJ ni numero uno niko naye hapa kajibanza kwapani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…