Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ni mimi kweli na ile car wash ya pembeni si ndio ilikusogeza karibu na hapo ukipeleka gari pale unaenda kupumzika hapo
Mkuu wacha uongoo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbuka vizuri sehem yetu pendwa yenye historia hapa maji madogo hapa fanta

Kipindi hicho ata baiskeli sinaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo nimeamuliwa ila ujue una maksudi siwezi ongea hapa kwa hapa nikae kimya na kucheka tu

Nitakuja ongea WhatsApp
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnyonge mnyongeni na mm hapa ndo angalau natuliza yaliyo moyoni....
Unasahau mapema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tumejipaka zile dawa za kuua mbu usku mara kibao pale ulipokuwaa unapapendaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo umeshayatuliza ya moyoni nataka kuja WhatsApp kutuma vn. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo umeshayatuliza ya moyoni nataka kuja WhatsApp kutuma vn. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Whatsap hapana zitakuja sms 40 mfululizooo...hapa hapa leo zamu yangu najuaa baadae utaanza kumuimbia baby wako...huku ukiniumiza maksudiiiii

Umesahau niligongaa gar ya mtu kwa nyuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nikitafuta parking nzuri maeneo ya ........
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka mimi jamaniiii leo nimetuma vn bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…