Makapuku Forum

Baba wawili uko wapi ebu njo tucheke yaliyomkuta mjomba ako kwenye selfie.
Nigendako halafu unajuaga hiyo avatar naipendaga
Nipo Shunie, niliona aisee, sema mwanzoni niliona kama utani, mwisho wa siku watu wakamaindina...

Hahah ulilalamika kuhusu jina, nikaona nirudishe jina pamoja na avatar yako unayoielewa mtoto mlito
 
Nipo Shunie, niliona aisee, sema mwanzoni niliona kama utani, mwisho wa siku watu wakamaindina...

Hahah ulilalamika kuhusu jina, nikaona nirudishe jina pamoja na avatar yako unayoielewa mtoto mlito
Niko namsubiri huku kwa hamu zote baba wawili yaani nitamcheka

Yaani nasoma kule nacheka kimoyomoyo alivyopanick sijawahi muona mjomba wako kupanick kama ile siku baba wawili

Halafu wote mmerudisha majina yenu lawama napata mimi wewe na vinc

Avatar naipenda sana yaani sana
 
Hahaha

Mjombaa ni mtalatibu sana ila unapovuka mipaka yake, hapo ndio utaiona rangi yake, hope walisameheane na yakaisha

Shunie bwana, ikiiona hiyo avatar unakuje kwani
?maana hauchelewi kumuumba mtu wewe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…