Ndio nilikujibu pale mwanzo, nikasema sina hakika kama upo au haupo, naona drama tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mzima kabisa
Pambana na maisha usipambane na watu....
Welcome back..In vast mentioning
Jr[emoji769]
Thank you kwema hukoWelcome back..
Asante ankoo na wewe salam zako zipoNi furaha kuwaona wadau wema wakiwa jukwaani Bitoz , shululu , Jimena na wote.
ningendako najua ulikuwa na funga njema, sasa turejee kwenye kuvaa barakoa.
makaveli10 sijakuona hapa beach au ndo unataka kusema Kigamboni/mjimwema ni kubwa sana tusiweze hata kusheherekea pamoja!?
Shunie aunty yangu nakusalimia.
My Telemundo, wewe ni wa kipekee na itoshe tu kukuambia uko wa kipekee.
mkwepu jr swalama mdau!?
Lee anko wangu sasa hutakosa sababu ya kusingizia kuwa hupatikani, maana Mama Ashura alisema uko busy na mfungo. Anyway, nakukumbuka sana anko wangu.
Asante kwa ufafanuzi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila sio kwa tumosa huyo kaka yake tumosa nae ako na mapacha shemela
Asante sana binamu.. Barakoa inaendelea kama kawaidaNi furaha kuwaona wadau wema wakiwa jukwaani Bitoz , shululu , Jimena na wote.
ningendako najua ulikuwa na funga njema, sasa turejee kwenye kuvaa barakoa.
makaveli10 sijakuona hapa beach au ndo unataka kusema Kigamboni/mjimwema ni kubwa sana tusiweze hata kusheherekea pamoja!?
Shunie aunty yangu nakusalimia.
My Telemundo, wewe ni wa kipekee na itoshe tu kukuambia uko wa kipekee.
mkwepu jr swalama mdau!?
Lee anko wangu sasa hutakosa sababu ya kusingizia kuwa hupatikani, maana Mama Ashura alisema uko busy na mfungo. Anyway, nakukumbuka sana anko wangu.
Mbona wewe haujatoa mialiko
Sijambo binamu yangu nashukuru sanaNi furaha kuwaona wadau wema wakiwa jukwaani Bitoz , shululu , Jimena na wote.
ningendako najua ulikuwa na funga njema, sasa turejee kwenye kuvaa barakoa.
makaveli10 sijakuona hapa beach au ndo unataka kusema Kigamboni/mjimwema ni kubwa sana tusiweze hata kusheherekea pamoja!?
Shunie aunty yangu nakusalimia.
My Telemundo, wewe ni wa kipekee na itoshe tu kukuambia uko wa kipekee.
mkwepu jr swalama mdau!?
Lee anko wangu sasa hutakosa sababu ya kusingizia kuwa hupatikani, maana Mama Ashura alisema uko busy na mfungo. Anyway, nakukumbuka sana anko wangu.
TupooooooBandugu mpoo mmewamiss sanana
MmikumisTupoooooo
Mekumiss pia dearMmikumis