Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Nikajua ni mimi mwenyewe tuu ndo napata tabuJf siku hizi kuna ids ngeni kila mtu namuona mpya
Nikajua ni mimi mwenyewe tuu ndo napata tabuJf siku hizi kuna ids ngeni kila mtu namuona mpya
Hatujambo moud habari yako
Mwambie niko apaT anakutafuta
Yaani nimekuta uko mtu anaitwa tapeli kisa anaandika habari za Geneva nikakuona na Kaka ako fake mnaitana pm [emoji1787]Nikajua ni mimi mwenyewe tuu ndo napata tabu
Niko poa kabisa moud hofu kwako tuNjema.
Mzima kibonge, cheusi mangala
Sawa dadaMwambie niko apa
HahahaahahahahYaani nimekuta uko mtu anaitwa tapeli kisa anaandika habari za Geneva nikakuona na Kaka ako fake mnaitana pm [emoji1787]
Hahhah nilikua nakuangalia tu mimi mtu akuite kirahisi tu vile eti njo pmHahahaahahahah
Hivi sio ice man?! Niliogopaaa sikwenda
Niko poa kabisa moud hofu kwako tu
Yaaaniii acha kabisaaHahhah nilikua nakuangalia tu mimi mtu akuite kirahisi tu vile eti njo pm
Yaaaniii acha kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ukiona id inamfanano na iceman tu unachanganyikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utatekwa
Mnamzungumzia nani eti
Yaani nimekuta uko mtu anaitwa tapeli kisa anaandika habari za Geneva nikakuona na Kaka ako fake mnaitana pm [emoji1787]
Hahhah nilikua nakuangalia tu mimi mtu akuite kirahisi tu vile eti njo pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Avatar bana
AiseeeHivi PM ni kutamu eeh?
Nishasahau hata PM aisee
Hakuna wa kunikulaSema Avatar tuu
Utakulwa..[emoji23][emoji23]
Hakuna wa kunikula