Makapuku Forum

Happy Mother's Day wana jukwaa hili adhimu.

Ndugu yenu bado nipo hapa nilipowaambia juzi, network inakuja na kuondoka.

Hebu tuchukue dakika moja kuwapongeza mama zetu, chukua jambo moja rahisi na mwambie asante Mama na usikumbuke mapungufu yake 101.

Asante mama Obe najua sasa wewe ni bibi lakini kwangu ninabaki kuwa mwanao unayenipenda bila masharti. (atakayesema mazaangu hayuko JF ana shida kubwa. Hii nimecopy nilipmuandikia kwenye simu yake mpya Samsung S20 )
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…