barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Uzi wa arsenal uko elfu 48 na ushee, uko mbali sana! Kwa hiyo humu mnajadili nini??umeona uzi wa Barca huzungumzii huu uzi umeipita had thread ya Arse8 kwa view na likes
Hahahaa
Ila umeleta vurugu PNC 1, ntaleta na mie picha za LVG sasa hvi
Ngoja mtatuliaKijana yeyote under 20 kwenye 10 9 Barcelona mmoja aliyebakia hana timu yan hafagilii mpira
New Statistics
Arsenal mbona kama wamechukua ubingwa vileKama ningekuwa mshabiki wa EPL sijui sura yangu ningeifichia wapi
Eeehyani unajaza memory card kwa picha za Lvg
Humu ni Makapuku Forum tunajadili Habar Mchanganyiko MF sport siasa udaku swaga za kitaa na pia kuidiscuss Fc Barcelona kwa maajabu inayoendelea kuyafanya pasipo kumsahau King Messi mzee wa kumsuuza Wenger kama 4 mguuni mwakeUzi wa arsenal uko elfu 48 na ushee, uko mbali sana! Kwa hiyo humu mnajadili nini??
Mimi IPhone SE yangu imejaa picha za Barcelona nilipewa Zawad na BarcelonaEeeh
Si kila mtu na timu yake
Arsenal mbona kama wamechukua ubingwa vile
Ungekuwa kwao unge enjoy tuu
AaaahHumu ni Makapuku Forum tunajadili Habar Mchanganyiko MF sport siasa udaku swaga za kitaa na pia kuidiscuss Fc Barcelona kwa maajabu inayoendelea kuyafanya pasipo kumsahau King Messi mzee wa kumsuuza Wenger kama 4 mguuni mwake
Kaka nlikuwaga na jez yangu ya man u cjui iko wao cku hizMimi IPhone SE yangu imejaa picha za Barcelona nilipewa Zawad na Barcelona
Jivunie kumtizama King ili uje kuwahadithia wajukuu zako Habar zake Legendary huyu anayesakata KabumbuAaaah
Hapo kwa messi ndo unaharib sasa
Mi team cr7Jivunie kumtizama King ili uje kuwahadithia wajukuu zako Habar zake Legendary huyu anayesakata Kabumbu
Kaka nlikuwaga na jez yangu ya man u cjui iko wao cku hiz
Akifukuzwa lvg ntaitafta
Hahahauna utani na Barafuyamoyo labda ubingwa wa kombe la Mbuzi
Hana hadhi ya kushabikia Barcelona huyo ni Arse8Hahaha
Barafuyamoyo ni Arsenal!!?
Humu ni Makapuku Forum tunajadili Habar Mchanganyiko MF sport siasa udaku swaga za kitaa na pia kuidiscuss Fc Barcelona kwa maajabu inayoendelea kuyafanya pasipo kumsahau King Messi mzee wa kumsuuza Wenger kama 4 mguuni mwake
Pichichi tusha chukua sana ngoja dogo naye apate mwaka huu, aje aguse UEFA aone cr7 ana beba
Sio la Liga tu na Kombe la MfalmeOoooh!
Hapo sawa, nilikuwa najiuliza huu uzi kuna nini wanajadili mbona unakimbia sana??
Hongera zako kwa kubeba ndoo ya la liga!!