Watu washauchoka Man uUsku mwema jaman
Wana man Utd wenzangu
Tuna malza ligi juma nne
Lvg ni jipu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahaha
Jumanne tuna muaga LVG wasijal
HahahaLvg ni jipu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] basi ulale Salama mkuu na usisahau kuombaAah
Yaan kaka
Apa ndo natafta stail ya kuendea bed
MAN U ilikuwa zamani kwa sasa imebaki historiaHahaha
Et wamesema lile bom ilipangwa liekwe kwenye siti ya LVG asa muekaj alvo chelewa aka amua kusepa tuu