Niajeeeee ankooo....niajeeee mjombaaa una tatu bombaaa hapo?...anafaa sana kama lokola soso na losa yaani jogoo na wali
mambo ya Papaa Mobimba au Papa Ngwasuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inanihusu hii [emoji847]View attachment 1423404
Kikubwaaa uhaiiJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito kiboko kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeenh bwanaKikubwaaa uhaii
Mbalizi akeeee.........
Waoh ,Shunie wangu ,karibu ulipotelea wapiSijambo we mzee jamani habari za congo