Dah! We jamaa muogope Mungu wewe!!
Shunie ni binamu angu tu, na binamu ni halali kumfanya nyama ya hamu, lakini kuifaidi inageuka kuwa haramu!
Ni kwamba unagonga mnofu mmoja wa hja, kabla hujashiba sana unashushia na soda baridi, hapo hapo unashiba bila kugonga nofu tena na tena!