Mbayaaa sanaa
Leo najuaa mambo yamebumaaaπππππDah mjombaa
Umeanzaaaunamtetea kisa novida, kweli?
Kama ni shuny huyu, sawa endelea kuandaliwa madikodiko..Daaaaah mjomba huwa unajua kunisumbua shuny wangu akiwa yuko bize na madikodiko jikoniiiii
Shunie anamalizia kukorofishaaa mambo wala msijaliiiHaya tumsubiri bibie..atakaposema anamjua sura zetu tutaziweka wapi sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba mjombaaa umefika mbali hukoTunakoelekeaa utakosaa huyo usimsikilizee kwanza leo ana stress kademu kake mtaani kameliwaa na anko Obe na nilimuonyaa akafikiri mimi nakamendeaa sasa leo gest akiwa na bint mwajuma yeye anamuita mwajay kapishana na kipotabooo chake mapokezii
πππππππππKama ni shuny huyu, sawa endelea kuandaliwa madikodiko..
Asikutishe huyu, mjomba wangu namjua vyemaHaya tumsubiri bibie..atakaposema anamjua sura zetu tutaziweka wapi sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipiiii niongezee sautii au volume inatoshaaaMjomba mjombaaa umefika mbali huko
Tunakoelekeaa utakosaa huyo usimsikilizee kwanza leo ana stress kademu kake mtaani kameliwaa na anko Obe na nilimuonyaa akafikiri mimi nakamendeaa sasa leo gest akiwa na bint mwajuma yeye anamuita mwajay kapishana na kipotabooo chake mapokezii
unamtetea kisa novida, kweli?
Stress zinakujaaa anko Obe kwanza kampiga kizinga cha elfu 47 asubh kumbe ndo pesa yake imetumikaa kuanziaa mchemsho mpaka gharama za gest...apa hana ata elfu 16 japo elfu 4 mia tano anaweza kuwa nayoila stress za Nini sasa..ngoma droo kala mwajay ..naye kaliwa kipotabo..pole anko wa lee
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya comedy ukimanisha nini?ππππππendiwooo..alafu unajua sitetei moja hapa nimeagiza 5 kaniambia niongeze 6 ujue..acha niendelee kumtetea..Mimi na wewe tutaenda sawa kesho siku ya comedy
Sent using Jamii Forums mobile app
Volume iongezwe majirani hawajisikiaVipiiii niongezee sautii au volume inatoshaaa
Muulizee leo analala wapiii make mke mkubwa kajua alikoshindaa