Mpendwaaaa.... yaaani mahakamani ndio umependeza hivyo?!
Kuna wanawake kule ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha,nipo shangazi nawasoma tu ,niaje lkn Shunie wanguHatujambo we mzee habari yako mbona umepotea lakini
Hahahaha,nipo shangazi nawasoma tu ,niaje lkn Shunie wangu
Karibuuu sana tena kwenye familia yetuuu hii pendwaaNawasalimu makapuku wenzangu ni Kitambo kdg nilitekwa Pahala ila niko nanyi tena...
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafahamu kuwa siku hizi umekuwa comedian?Karibuuu sana tena kwenye familia yetuuu hii pendwaa
Hahaha,nini tena Mzee mwenzangu hujaelewaHapo kwenye wangu ndo sijaelewaa mzee mwenzangu
Kwema kabisa Mkuu
Wewe mwenyewe unajua kipi ?Hahaha,nini tena Mzee mwenzangu hujaelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe una wivuHapo kwenye wangu ndo sijaelewaa mzee mwenzangu
Chief mimi nilimsaidiaaa mpenzi wangu wa moyo shunieAnafahamu kuwa siku hizi umekuwa comedian?
Mkuuuu kwemaaaa ????
Kwambaaa hulijui ...nishasema ntamroga mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe una wivu
Wale wapenzi wako wengine siyo wa moyo?Chief mimi nilimsaidiaaa mpenzi wangu wa moyo shunie
Unataka nn lakin
Watu gan au unamzungumzia abj na sakayo na wale wasiojulikana ?Wale wengine siyo wa moyo?