Makapuku Forum

Ee Safi wamekukomesha maana hizo ndo zinakupa jeuri
na wasikulipe kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jameni, ujue wewe ndo tegemeo langu. Unapaswa kuwa wa mwisho kuniumiza moyo. Nimesikitika sana hadi nguvu zimeniishia.

Machozi yanatiririka kama mvua za vuli bila mwamvuli nahisi nitasombwa na upepo wa kusulisuli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…