Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Mm mbona nilihama na ww umehamaNgoja tuone kama kuna ukweli [emoji1732][emoji1732]View attachment 1362475
Mm mbona nilihama na ww umehamaNgoja tuone kama kuna ukweli [emoji1732][emoji1732]View attachment 1362475
Ukweliii...
Nilijuaaa ...hapoo ukikaa kwenye sofaa n liliee limdundoooo mezan kuna ukipendachooo hatarBinamu asante kwa nyimbo nzuri [emoji847] ni mpya hii umenifanya nimedonload
Ndiwooooo ndiwoooooEeenh mimi ukinikosa kote mama utanikuta huku na entertainment kwenye story ndio sehemu zangu pendwa
Yaani naweza kuingia jf nisifungue majukwaa mengine nikawepo makapuku dear
Wewe ni nani ubisheNdiwooooo ndiwooooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] NiwacheeeNilijuaaa ...hapoo ukikaa kwenye sofaa n liliee limdundoooo mezan kuna ukipendachooo hatar
Hivi umesoma kweli umeelewa wewe umehama mimi nimehamia na ninaona dalili zote za kutokurudi nilipotoka [emoji1732][emoji1732][emoji1732]Mm mbona nilihama na ww umehama
Niko poa poa babe wake mtu [emoji847]Hope babee uko salama na ulifikaa salama kabisaa
Sema kweliMmmmmh siachwagiii mm
Haya cheusi mangala mwenzangu.. [emoji4]Je wajua inakujia na shunie shunie cheusi mangala [emoji847][emoji847] mtoto mlito
Aiii... Kwenda huko ulivokuwa unajibembeleza kwangu[emoji2]manaake si umeachwaMmmmmh siachwagiii mm
Weeee nakuwachajeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niwacheee
Hahahahahahahahaah .....nmekuelewaaaaaHivi umesoma kweli umeelewa wewe umehama mimi nimehamia na ninaona dalili zote za kutokurudi nilipotoka [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
nikoooo hapaaaaaNiko poa poa babe wake mtu [emoji847]
Kwan nmemaanishaaa nini ?Sema kweli
Taratibuuuuu bhasiiiiAiii... Kwenda huko ulivokuwa unajibembeleza kwangu[emoji2]manaake si umeachwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko apa cheusi mwenzangu
Usikubali kuachwa kifala weweeeh ukiachwa usiachikeee pambana