Achana na hiyo ankooo ....nishapata namba nilimanishaa hii pub ambayo umetoka mda huu....eehe. Grocery dispensary center. Ni mpya, kuna nesi ana utaalam wa juu, sitakuelekeza maana magonjwa yako ni mtambuka
Achana na hiyo ankooo ....nishapata namba nilimanishaa hii pub ambayo umetoka mda huu
..huyo nesiiii umemuona lakini?
Naanza na sanduku la postaaa....aisee umetisha sana. Kakupa na email yake? Na whatsapp?
nikuulize wewe kama umeridhika na ulicho ambiwa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jipe muda darling. Muda huu niko hospital nnaumwa, ukiniacha basi ndo ntapata corona kabisa
Kwendraaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ukomeeee
Swalama kabisa sisi wa mikoani tupo nayo kila skuNawasalimu sana waheshimiwa wa humu! Wale Dsm tunamshkuru kwa Mvua rasha rasha ambayo tumeamka nayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusalimia sana mimi ....Ule mwamvuli niliochukua jana umenisaidia leo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Nijibu bhas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji849][emoji849] kuhusu??Nijibu bhas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namba
Yamekuwa hayo ...ila kwako sirud[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa kabisaaNatumai mu wazima wakuu