Makapuku Forum

Pole mtoto mlito, Mungu ni mwema kwa kweli
Asante sana baba wawili yaani nilikua napika huwa nikimaliza kupika nafunga gas kule kwenye mtungi nimeinama hivi nifunge naona chini ya jiko moto unawaka nilitaka kukimbia kwanza nikasema ebu ngoja nifunge gas kufunga gas moto ukawa unajizima taratibu sasa mpaka ukaisha
 
Aisee pole sana, hii mitungi ya gas ni kuwa nayo makini sana, mazoea hayatakiwi kabsa muda wowote hali inabadirika ni mabomu yale!!
 
mwenyewe nimemis hayo majukum madogomadogo

Usinambiee sku hiz hutak kujisumbua kuosha vyombo umemletaa msaidizi wa 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…