Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Na mm niko job ,mamii wanguMh mimi nipo zangu job we mzee tunalinda wote kivipi tena
Hahahha we mzee bwana ukipewa kitu kiwe kidogo au kikubwa inabidi ushukuru tuHahahaha kwann sasa umecheka? Niko serious au 5GB ni ndugu huku mjini kwenu?
MTC | 101|
Ahsante, nasubiri namba nitekeleze hii ahadi yangu kwako mamiiHahahha we mzee bwana ukipewa kitu kiwe kidogo au kikubwa inabidi ushukuru tu
No kwa ajili ya kutuma bundle tu we mzee mawasiliano ni jf tuAhsante, nasubiri namba nitekeleze hii ahadi yangu kwako mamii
MTC | 101|
Hahahaha, basi naona udhamini umekataliwa rasmi leoNo kwa ajili ya kutuma bundle tu we mzee mawasiliano ni jf tu
Sio umekataliwa nimetoa ufafanuzi kama haujanilewa sawaHahahaha, basi naona udhamini umekataliwa rasmi leo
MTC | 101|
Nimekuelewa mpz ,piga kaziSio umekataliwa nimetoa ufafanuzi kama haujanilewa sawa
Hakutakuwa na excuse mchepuko wangu wa daima!!Mamba Kotela usisahau. No excuse sawa mchepuko wangu wa milele?
Ndo umeandika nini eti jamani
Nahitaji doctor hapo
Kuna nini eti jamani
Ina maana yangu haikufika
Vipi mdogo wangu mzuri mzuri jamani!!
Ni leo tuu sijapita huko dear!
Mmmhhh